nauza kambale wa kufuga kama kitoweo

nauza kambale wa kufuga kama kitoweo

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
nipo dar
mawasiliano ni 0712505049
size yake ni inch 4 mpaka 10 bei ni sh 1500 ukiweza unaweza kuja kuchukua au nikuletee hapo ulipo
 
dar es salaam mkuu maeneo ya jet
 
Baba bupe anahitaji mkuu,,
Kama vipi ni pm nikuunganishe.
 
Unamaabisha vifaranga vya kambale au kambale wenyewle?
 
weka picha mkuu nione ukubwa..kusema nchi sielewi ni length ya wapi kwenye mwili wa samaki hao
.kambale tamu sana.
 
Unamaabisha vifaranga vya kambale au kambale wenyewle?

sio maabara nimewavua huko kwenye bwawa langu nawauza kwa watu watakaopenda kufuga ninao wengi sana
 
weka picha mkuu nione ukubwa..kusema nchi sielewi ni length ya wapi kwenye mwili wa samaki hao
.kambale tamu sana.

wako aina tofauti picha naswinda kuattach labda kwa whats app tu kuanzia size ya inch nne mpaka inch kumi kwa lugha nyepesi kuanzia kiganja chako mpaka size ya ruler ya cm 30
 
nipo dar
mawasiliano ni 0712505049
size yake ni inch 4 mpaka 10 bei ni sh 1500 ukiweza unaweza kuja kuchukua au nikuletee hapo ulipo
Mbona hawa wafuga samaki mbona huwa hawatutangazii kuwa wanavuna samaki hivyo wanauza wa kitoweo?wao ni vifaranga tuu
 
Mbona hawa wafuga samaki mbona huwa hawatutangazii kuwa wanavuna samaki hivyo wanauza wa kitoweo?wao ni vifaranga tuu

mkuu mi nauza si vifanga maana ni mbegu kwa maana wapo wakubwa ambao si mda mrefu kama mwezi wanaanza kutaga .badala ya kusema vifaranga waweza sema mbegu
 
Back
Top Bottom