NAUZA KABATI, STABLIZER, ZULIA NA KING'AMUZI DSTV + VUNGO WAKE NA KWA TSH 400,000 VYOTE

kakamgeni

JF-Expert Member
Feb 1, 2018
241
201
Ningependa niwatakie heri ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya wadau wote wa Jamii forums, najua wengi wetu tutakuwa tumejumuika na familia zetu, basi ningependa ofa hii ambayo naweza nikasema sawa na bure isikupite.

Kama utakuwa mfuatiliaji wa threads zangu ni kwamba hapo awali niliorodhesha baadhi ya vitu vyangu navyouza, point ikiwa nipo kwenye hatua za mwisho za kusafiri kwenda ughaibuni kuangalia upande wa pili wa shilingi.

Kama uzi unavyojieleza hapo, nina kabati la milango miwili la vioo la kuwekea vyombo, Zulia la manyoya na king'amuzi cha DSTV na ungo wake pamoja na stablizer ya westpoint vyote nauza kwa Tsh400,000 tu.

Kwa wale wenye kuhitaji wanipigie kwa simu namba : +255 629 22 76 97.
 
Attachments

  • IMG_20181209_185100.jpg
    IMG_20181209_185100.jpg
    64.1 KB · Views: 52
  • IMG_20181210_073828.jpg
    IMG_20181210_073828.jpg
    92.2 KB · Views: 49
Uza kimoja kimoja,kokotoa hiyo being then weka kila bidhaa na bei yake
Picture ya zulia umeikosea au arsenal/Nkana B wamekuchanganya??????
 
Uza kimoja kimoja,kokotoa hiyo being then weka kila bidhaa na bei yake
Picture ya zulia umeikosea au arsenal/Nkana B wamekuchanganya??????
Hahahhaaa bahati mbaya mm sio shabiki sana wa mpira...haya king'amuzi 50, zulia 50, stabilizer 50 na kabati 250
 
Zulia umeligeuza upside down.

Hilo zulia linauzwa elfu 60 hapo discount centre.
Jipya.

Dstv mpya inauzwa elfu 69 pamoj na fundi wa ku install.

Ina maana kabati lako na hio stanilizer ndio pesa iliyobaki.
 
Zulia umeligeuza upside down.

Hilo zulia linauzwa elfu 60 hapo discount centre.
Jipya.

Dstv mpya inauzwa elfu 69 pamoj na fundi wa ku install.

Ina maana kabati lako na hio stanilizer ndio pesa iliyobaki.
Daaahhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom