Nauza kabati, meza, TV, Camera, Sofa nk

Nauza kabati, meza, TV, Camera, Sofa nk

Mbona bei za kimataifa mkuu...bei ya tv sh ngp? Sidhan km unauza...vitu used halafu bei zake mara mbili ya mpya
 
Kabati hilo dukani ni 250000 Mkuu weka bei nzuri kwani ni used
 
Huyu atakuwa mpanda au makete labda....huko wanakuwaga na bei zao...hiyo meza yako ya tv mpya dukan laki unusu....chek bei yako.
Anyway hutouza mkuu rudisha tu ndani.
 
Huyu atakuwa mpanda au makete labda....huko wanakuwaga na bei zao...hiyo meza yako ya tv mpya dukan laki unusu....chek bei yako.
Anyway hutouza mkuu rudisha tu ndani.
mkuu labda alijisahau akaongeza ziro...we punguza ziro moja utapata bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom