Kaka sio kimeo nimenunua nje ya nchi naona kama ni mzigo coz ninatumia iphone so hiyo iphone inafunctions zote zilizopo kwenye ipod hapa TZ nadhani sasa hivi zinauzwa dola 650 piga hesabu mara sh 1560 utapata jibu ni sh ngapi.Kwa nini unaiuza mkuu au kimeo? Ka iko poa sema bei ya kawaida nikufaulishe