Hello bosses and roses...
Nauza Apple iPhone XS Max Gold kwa 500k tu. Nimeitumia kwa miezi miwili tu, battery health ni 87%.
Bado ni mpya kimwonekano hata kimatumizi.
Haina tatizo lolote, sababu ya kuiuza nimepata 13 pro max ndo maana naachia hii.
Mwenye kuhitaji njoo inbox, wenye michepuko wanunulieni michepuko zawadi ya valentine, hahahaa (joking...)
View attachment 2877762
View attachment 2877763
UPDATE.
========
SOLD