SUCRE MARIACH
Senior Member
- Jan 27, 2010
- 104
- 27
- Thread starter
- #21
Kwa kauli kama hizi, kauze tu ugoro bidhaa hizo hazikufai.
Twilumba simu kama unazijua na unahitaji basi ni bora ukanipigia na tukaonana kama upo interested maana hata nikikutajia bei hapa lakini mwisho wa siku utahitaji tu kuziona na kuzijaribu ili uridhike nayo/ nazo... Kama nitaweka picha sio na ukaja kuona simu tofauti na hata picha niliyotupia si utaweza kunipiga hata bomu la machozi mkuu..!!!!
Nipo makini na ninachokifanya na hata muda ninaoutumia