SUCRE MARIACH
Senior Member
- Jan 27, 2010
- 104
- 27
Weke bei ya Iphone 6 plus 16gb golden (kama unayo)
iphone 4s bei na 5s
Sasa mkuu simu zilizopo ni iphone 6 plus mpya kabisa na ni factory unlock pia kuna used iphone 4s na simu nyinginezo nyingi tu na hata kama sina kwa muda huo basi nitakuagizia iwe mpya au iliyotumika... Kuhusu kutupia picha ni ngumu sana maana sina muda( samahani sana kwa hilo)Unapotaja Bei hapa unaondoa usumbufu wa mtu kukupigia simu na kuanza ku bargain, pia ingekua vizuri kama ungeweka na picha zake Hapa
Namba ya simu ipo hapo juu, sasa sijui nini tatizo mpaka nitupie bei hapa.!? Mimi ndio mhusika na si dalali hivyo basi nicheki twende sawa
Habari za leo wadau..!? Ninazo simu mpya kabisa iphone 6plus hazijawahi kutumika na ni factory unlocked pia kuna iphone 5 na 4s hizi zimetumika kidogo sana na hazina hata mikwaruzo sababu ya screen protector na back cover...
Nicheki 0713 598383
Namba ya simu ipo hapo juu, sasa sijui nini tatizo mpaka nitupie bei hapa.!? Mimi ndio mhusika na si dalali hivyo basi nicheki twende sawa
Sasa mkuu simu zilizopo ni iphone 6 plus mpya kabisa na ni factory unlock pia kuna used iphone 4s na simu nyinginezo nyingi tu na hata kama sina kwa muda huo basi nitakuagizia iwe mpya au iliyotumika... Kuhusu kutupia picha ni ngumu sana maana sina muda( samahani sana kwa hilo)
Kila la kheri
Sasa kama huna muda umekuja kufanya nini hapa?Sasa mkuu simu zilizopo ni iphone 6 plus mpya kabisa na ni factory unlock pia kuna used iphone 4s na simu nyinginezo nyingi tu na hata kama sina kwa muda huo basi nitakuagizia iwe mpya au iliyotumika... Kuhusu kutupia picha ni ngumu sana maana sina muda( samahani sana kwa hilo)
Kila la kheri
Namba ya simu ipo hapo juu, sasa sijui nini tatizo mpaka nitupie bei hapa.!? Mimi ndio mhusika na si dalali hivyo basi nicheki twende sawa
Kwa kauli kama hizi, kauze tu ugoro bidhaa hizo hazikufai.Sasa mkuu simu zilizopo ni iphone 6 plus mpya kabisa na ni factory unlock pia kuna used iphone 4s na simu nyinginezo nyingi tu na hata kama sina kwa muda huo basi nitakuagizia iwe mpya au iliyotumika... Kuhusu kutupia picha ni ngumu sana maana sina muda( samahani sana kwa hilo)
Kila la kheri
unasemq upigiwe simu wakati umeiweka kwenye call barrier simu haiendi... nimejaribu kuipiga... hapo unauza simu unablock zisiingie ukishapata mteja ukamuuzia si ndio hutapatikanika kabisa.
Samahani maana baadhi ya sehemu zinakuwa na utata wa network lakini wewe jaribu kunicheki tena na tunaweza kuonana bila wasiwasi, Pole sana kwa usumbufu