Nauza iPhone 6s bei sawa na bure

Nauza iPhone 6s bei sawa na bure

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,710
Reaction score
4,025
Kama upo dar njoo pm tuwasiliane, nimeinunua toka dukani tarehe 2/10/2017, ni bado mpyaa haina shida yoyote. (iPhone 6s) naiuza 650k. Bei haipandi wala haipungui.
 
Kama upo dar njoo pm tuwasiliane, nimeinunua toka dukani tarehe 2/10/2017, ni bado mpyaa haina shida yoyote. (iPhone 6s) naiuza 650k. Bei haipandi wala haipungui.

Ntumie picha inbox, storage ngapi ? Rangi ?

Pia ingekuwa vyema uweke contacts hapa
 
Kamuuzie mama yako mkuu
Sasa dada angu hapa uliitwa labda? Kwanini unakua mjinga wa kiasi iki? Mim nimekukosea nini? Nakujua? Unanijua? Dada angu sijapenda kabisa kauli zako za kipuuzi kama hizi. Anyway endelea kutukana watu tu mitandaoni ila siku ya siku unakuta ni baba zako sijui utafanyaje.
 
Back
Top Bottom