Nauza iphone 4s bei poa sana.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,012
Habari mkuu,ninauza sim yangu iphone 4s niliyokua naitumia,imekua ghafla na tatizo inaniandikia disabled,nadhani inahitaji marekebisho kidogo.
Bei ni Tsh 110,000/=
Piga au whatsap 0621003284
Napatikana Dar.
Tazama picha kama inavyo onekana.
Bei Tsh 11
DSC_0021.JPG
DSC_0023.JPG
DSC_0024.JPG
DSC_0022.JPG
0,000/=
 
si mlisema simu zenu hizo haziharibikagi
Hiyo sim ni toleo la zaman katika series ya iphone na ameshaacha kuzitolea updates toka mwaka juzi.
Simu zinazopokea updates ni kuanzia iphone 5s na kuendelea zenye 64bits processor.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom