Nauza iphone 4s kwa sh 60000

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
502
456
Nauza iPhone 4s kwa sh 60000 inatatizo la betri limevimba kama inavyo onekana kwenye picha . 0657623266
WP_20170505_001.jpg
WP_20170505_002.jpg
WP_20170505_003.jpg
 
laki6 ujue ni iPhone 6 tena mpya ila cyo brand new wew ungeanzia laki3 ikipata mteja 280 chukua na usigeuke nyuma
 
naona ina sehemu ya memory card au mboga za majani nmekosa??
hii ni clone (fake) kuwa muwazi mkuu
 
Hiii thread imefanya siku ya Leo clearly.. Nimecheka sana..!comments za umu!kicheko tosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom