Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,039
InunueOh mimi nataka kununua pro max napenda simu kubwa eti😀😀
Mimi ilinishinda kwa kweli 😂😂
Ya 14 sijawahi ishika.
Ila 12/13 ni nzito na pana mno.
InunueOh mimi nataka kununua pro max napenda simu kubwa eti😀😀
Mimi natoka android nataka nijaribu huko pia 😀 nikishindwa narudi zangu😀Inunue
Mimi ilinishinda kwa kweli 😂😂
Ya 14 sijawahi ishika.
Ila 12/13 ni nzito na pana mno.
Ni nzito? Kubwa? Hamnipati![]()
Labda pawepo na size ndogo, nyepesi like 13 plain, 11 plain, 8 plain., 12 min & 12 pro
Haha karibu sana… ni pazuriMimi natoka android nataka nijaribu huko pia 😀 nikishindwa narudi zangu😀
Ahsante nimeshaweka kibubu😀Haha karibu sana… ni pazuri