Nauza ipad min air ipo katika hali nzuri haina
apple id wala icloud bei ni laki 8 nipo dar
nimeshindwa ku upload picha ila naweza
kukutumia whatsapp au tukaonana ukaiona kwa aliye tayari
tuwasiliane
065-378-0895
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.