Nauza Inverter 500W

Nauza Inverter 500W

Ibravo

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
539
Reaction score
202
Habari
Nauza inverter 500W ya China 100,000/=negotiable price
0789 780 200
TMK~DSM
 
Ina uwezo wa kutumika katika vitu vya nyumbani kama tv, comp, projector, etc kwa pamoja?
 
Hizi biashara za mbuzi kwenye gunia zinatukera,weka picha!
 
Sasa hapo inategemea na load ya vifaa vyako vina watts ngapi kwa ujumla, uwezo wake ni Watts 500 .
 
Back
Top Bottom