Troojan
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 967
- 681
naona hii dunia niliyoko hazitumiki na kama zinatumika ni kiduchu sana to the point sizijui
Mwenzetu unatumikia kifungo China nini????MBNA hueleweku!!!kuna dunia ya peke yenu/yako??

hapa nilipo sijawahi kuzisikia kusema ukweli, mara nyingi nikiingia jamii natumia desktop comp na mara moja moja natumia my iphone or my ipad