Hili litakua TV dungu limetoka kwa "KAZI NI KIPIMO CHA UTU" yale yanayookotwa barabarani UK halafu yanaenda kuuzwa bongo kwa bei chee. Unaliwasha mara haliwaki au linatoa mlio wa nyau then linakufa😀😀😀
Unajua mimi kuna muda mnakuwa mnauza vitu na hela ya kuvinunua nakuwa nayo ila kitendo cha kutonitag basi nahisi kama mmenidharau sana kiasi cha kuamua kugoma kununua hizo bidhaa aisee