Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,126 Reaction score 93,249 Jun 30, 2021 #21 Castr said: Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili .
Castr said: Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili .
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,407 Reaction score 77,295 Jun 30, 2021 #22 Carlos The Jackal said: [emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili . Click to expand... Kwanini bro
Carlos The Jackal said: [emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili . Click to expand... Kwanini bro
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jun 30, 2021 #23 vvm said: Yes unachaji tu nakuondoka, havina engine ya mafuta kabisa ,,kwa sasa havina hata usajili ila kwa kujihami ukiwa na leseni yenye daraja A ...umemaliza. Click to expand... Jamanii, mbona habari njema nimechelewa kuipata aiseeh. Nakitaka hiki haswa wacha nikakitafute kariakoo au mitaa ya kisutu. Naenda shona na suti ya leather kabisa kipindi cha mvua wala sina shida. Ngoja nika update na leseni kwa kujihami.
vvm said: Yes unachaji tu nakuondoka, havina engine ya mafuta kabisa ,,kwa sasa havina hata usajili ila kwa kujihami ukiwa na leseni yenye daraja A ...umemaliza. Click to expand... Jamanii, mbona habari njema nimechelewa kuipata aiseeh. Nakitaka hiki haswa wacha nikakitafute kariakoo au mitaa ya kisutu. Naenda shona na suti ya leather kabisa kipindi cha mvua wala sina shida. Ngoja nika update na leseni kwa kujihami.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jun 30, 2021 #24 Castr said: Kuna vingine vipana zaidi hapo pa kuwekea miguu wanawekea mpaka kuni. Kama kuni inaruhusiwa sidhani kama wewe kuweka kisanduku utakatazwa. Pia nafikiri havina maswala ya kodi au leseni. Vinahesabiwa baiskeli. Click to expand... Yaani hii ni habari njema kwangu, asante sana mleta mada. Naenda ninja changu kipyaaa nifungue boksi na kutoa lailoni. Wacha niwahi kwa kamcho Taibali.
Castr said: Kuna vingine vipana zaidi hapo pa kuwekea miguu wanawekea mpaka kuni. Kama kuni inaruhusiwa sidhani kama wewe kuweka kisanduku utakatazwa. Pia nafikiri havina maswala ya kodi au leseni. Vinahesabiwa baiskeli. Click to expand... Yaani hii ni habari njema kwangu, asante sana mleta mada. Naenda ninja changu kipyaaa nifungue boksi na kutoa lailoni. Wacha niwahi kwa kamcho Taibali.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jun 30, 2021 #25 kikiboxer said: Ni kuchaji na kuondoka mkuu. Hakihitaji leseni wala bima. Unatembea tu. Kizuri kwa town trips au wikiend flan hivi kubarizi upepo. Click to expand... Asante kwa taarifa, mie ndo kitakuwa usafiri wangu otherwise naenda kwenye mtoko ndo nachukua gari. Asanteni sanaa kwa kunifungua macho.
kikiboxer said: Ni kuchaji na kuondoka mkuu. Hakihitaji leseni wala bima. Unatembea tu. Kizuri kwa town trips au wikiend flan hivi kubarizi upepo. Click to expand... Asante kwa taarifa, mie ndo kitakuwa usafiri wangu otherwise naenda kwenye mtoko ndo nachukua gari. Asanteni sanaa kwa kunifungua macho.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Jun 30, 2021 #26 Carlos The Jackal said: [emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili . Click to expand... Umenifikirisha, wezi...! Haviibiwi kama wanavyoteka bodaboda? Au umemaanisha anaweza pata ajali barabarani kwa madereva wazembe na walevi?
Carlos The Jackal said: [emoji23][emoji23][emoji23] wasomali watampasua kichwa hawana akili . Click to expand... Umenifikirisha, wezi...! Haviibiwi kama wanavyoteka bodaboda? Au umemaanisha anaweza pata ajali barabarani kwa madereva wazembe na walevi?