Ya kuchaji haina odometer? Hebu toa maelezo ya kushiba mkuu, mbona unajibu nusu nusu na kwa mkato?hiyo ile ya kuchaji mkuuu
Ndiyo hata kama ya kucharge kwani unaitoa bure?hiyo ile ya kuchaji mkuuu
mkuu hata hakijatembelewa, alie letewa kasema hakuwezi kwan nitakuja kusababishia ajari, hivyo kaamua kuki
Kwahyo ndio unauza bei kuliko kipya? Hicho kipya wanauza 1.5 hadi 1.45M.mkuu hata hakijatembelewa, alie letewa kasema hakuwezi kwan nitakuja kusababishia ajari, hivyo kaamua kukiuza
K
Kwahyo ndio unauza bei kuliko kipya? Hicho kipya wanauza 1.5 hadi 1.45M.
Ndio bei yake mkuu. Unachaji kinatembea Km 55-60 kabla hakijaisha uchaji tena.Kumbe bei yake ni hiyo, ngoja nivunje kibubu nikakichukue nianze kukatiza chochoro.
Ndio bei yake mkuu. Unachaji kinatembea Km 55-60 kabla hakijaisha uchaji tena.
Ila kama mfuko unasoma poa hiki unamnunulia mwanao cha kwendea shule. Yaani unakua umemrahisishia hadi kuscore
Yes unachaji tu nakuondoka, havina engine ya mafuta kabisa ,,kwa sasa havina hata usajili ila kwa kujihami ukiwa na leseni yenye daraja A ...umemaliza.Hivyo hakitumii mafuta? Yaani petrol ⛽️ au diesel?
Ni kuchaji tuu na kuondoka..!???
Naweza kuendesha na leseni hii hii nnayoendeshea uber au nitahitaji leseni / class nyingine?
Kuna vingine vipana zaidi hapo pa kuwekea miguu wanawekea mpaka kuni. Kama kuni inaruhusiwa sidhani kama wewe kuweka kisanduku utakatazwa.Mi nakihitaji kwa mizunguko ya Daslam. Sema ntaweka kisanduku kama vile vya kwenye pikipiki za matrafiki, si ntarujusiwa?
Ili humo niwe naweka vitu vyangu vidogo vidogo.
Nimejikuta napata Mahaba nacho ghafla....🥰🥰.
Ni kuchaji na kuondoka mkuu. Hakihitaji leseni wala bima. Unatembea tu.Hivyo hakitumii mafuta? Yaani petrol ⛽️ au diesel?
Ni kuchaji tuu na kuondoka..!???
Naweza kuendesha na leseni hii hii nnayoendeshea uber au nitahitaji leseni / class nyingine?