Sajili line ya tatu uongeze nguvu kwenye kulipa kodi,, mbona simpo tuuWewe nunu uweke mezani me inaniongezea mzigo tu nina line 2 na zote ziko ktk simu nyingine hii imekaa tu hapa ndani
Kwa nini usiiweke mezani ukaipa na jina "simu ya mezani"
NB hiyo hela upewi braza

Nikushauri tu.. si kwa ubaya..Mchawi housng tu hapo mkuu na hio housing unayoona ni og mkuu
Wewe sajili line tulijenge taifa fulu sitopuHahaaa matumizi mabaya pesa line 3 za nini nijiongezee gharama za maisha
Duh.!Nauza simu bei poa
Nimu ni nokia original
Model 1280
Nataka tsh 25000/=
0679 100 690
View attachment 2195635
View attachment 2195636
Ahsante Mkuu..Uko wapi nikuletee kama zawadi ya siku yako ya kuzaliwa teteeheeehtee