Nauza harrier milioni 20 - t234 - bgq

"Wadau nauza Harrier inauzwa"

Wadau tuwe serious jamani, waya wa nini katika redio, Peleka uzi huu katika Forum ya matangazo.
 
Mkuu Bamutu,

Harrier ni ndoa ya kikristo kwa maana ukishalinunua kuliuza ni vigumu[unakufanalo] sana labda ukibahatisha mnunuzi asiyejua magari.Spares za Harrier ni ghali sana wish boan moja ni tsh 470,000/@ mpaka 500,000/= @ na ni spare inayoharibika mara kwa mara bado haujagusa Shock up ni kati ya tsh 450,000/=@ 520,000/=@.

Mkuu asante kwa taarifa hii. Nilikuwa na mpango wa kununua Harrier nimeahirisha
 
Mkuu Bamutu,

Harrier ni ndoa ya kikristo kwa maana ukishalinunua kuliuza ni vigumu[unakufanalo] sana labda ukibahatisha mnunuzi asiyejua magari.Spares za Harrier ni ghali sana wish boan moja ni tsh 470,000/@ mpaka 500,000/= @ na ni spare inayoharibika mara kwa mara bado haujagusa Shock up ni kati ya tsh 450,000/=@ 520,000/=@.

Mi napenda sana Harrier pamoja na yote uliyosema nazipenda sana hizi gari nikipata pesa lazima ninunue Harrier.
 
Wakuu vipi toyota Kluger? spea zake na mambo yake kimaisha yakoje?
 
tusiwakatishe tamaa jamani wenye ndoto za kumili harrier naamini kabla mtu hajanunua gari anaangalia vitu muhimu kwanza na urahisi wa kulimiliki na kulihudumia
 
peleka tangazo lako mahala husika! si jukwaa la matangazo
 
Weka kwenye matangazo.... Zaidi mi napenda sana haya magari nikipata mpunga ntanunua langu,,,,, I love harrier
 
Gari ni matunzo na utayari wa kuihudumia. Kuna watu wana Corola na wanashindwa hata kununua bush kwa uzembe au kutokujali. Hata mafuta wanashindwa, kila siku taa inawaka. Gari yoyote inahitaji nidhamu
 
Mkuu Bamutu,

Harrier ni ndoa ya kikristo kwa maana ukishalinunua kuliuza ni vigumu[unakufanalo] sana labda ukibahatisha mnunuzi asiyejua magari.Spares za Harrier ni ghali sana wish boan moja ni tsh 470,000/@ mpaka 500,000/= @ na ni spare inayoharibika mara kwa mara bado haujagusa Shock up ni kati ya tsh 450,000/=@ 520,000/=@.

Usitishe watu bwana. Ni gari nzuri sana madhubuti kweli kweli. Na kama unapenda spidi basi liko very stable hamna kuyumba.

Kama unataka spare za kutengeneza hapo ndiyo matatizo. Hiyo spare unayozungumzia ambayo wewe unanunua mara kwa mara wala hata sijawahi kuisikia na mimi nnayo mwaka wa tatu huu.
 
Kwa kutembelea mjini na kwenda kazini ni poa, na hasa kwenye fuel consumption. Engine zake ni 900-1300 cc kwa zile za zamani (mpaka 2005).

Kwa usafiri wa masafa marefu vinachosha sana.

Wewe unajua magari au unasimuliwa? Hakuna Harrier ya 900cc - 1300cc duniani, labda uwe umetengeza wewe. Cc ni equivalent na body, sasa kwa akili yako body ya Harrier inaweza kutembezwa na engine ya cc 1300?

Suzuki Swift au Corrola 111 itakuwaje? Kifupi na kwa uhakika Harrier inaanzia CC 2000- 2005 nyingi zina engine ya D4 VVTi.

Mwambie jamaa aweke picha ya engine tuone au akupe specification zake kama huamini.
 
Mzee wa rula umechemsha. Soma vizuri haya maelezo. Sio ya Harrier. Huyu jamaa alikua anamjib jamaa mwingine ameulizia kuhusu gari ingine terios. Soma tena hapo juu utaona ame-reply with quote.
 
Mkuu Bitimkongwe,

Inategemea matumizi yako let say unatoka nyumbani hadi ofisini lami tupu 2 - 5 km per day unaweza kukaa hata miaka minne bila kununua wish boan/Shock up.Mimi nakaa Arusha week end nakwenda Tanga shambani 250 - 300 km wakati narejea naweka na mzigo kati ya 100 - 250 kgs ukitumia Harrier ndani ya mwezi mmoja tu unaiweka juu ya mawe.Naizungumzia Harrier kwa maana ya maisha ya kiTanzania ya kuangaika lakini kama una mtazamo wa Bilicana... nunua mwenzako natumia Defender P/U mashine inapiga mzigo wa kufa mtu barabara mbaya mvua milima nakatiza utadhani mamba ndani ya maji.

Nameijua Harrier kupitia rafiki yangu anayefanyakazi UNICTR ni kweli inakimbia ,inatulia sana barabarani kama unataka kununua gari kwa kuangalia sifa hizo sawa lakini lazima utie akili disadvantages zake kwanza.Mwisho hiyo bei ni kubwa mno.

Usitishe watu bwana. Ni gari nzuri sana madhubuti kweli kweli. Na kama unapenda spidi basi liko very stable hamna kuyumba.

Kama unataka spare za kutengeneza hapo ndiyo matatizo. Hiyo spare unayozungumzia ambayo wewe unanunua mara kwa mara wala hata sijawahi kuisikia na mimi nnayo mwaka wa tatu huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom