Nauza Halotel Moderm 35 elfu tu!

Nauza Halotel Moderm 35 elfu tu!

Dunia ya leo bado watu mnatumia modem?
 
Mkuu samahani lakini,kukumbushana muhim
Usafi muhim,kucha hizo aisee balaa,sifa kuu ya kucha ni Uchafu hasa Mkono wa kushoto.Ulikuwa ubishoo wa Zamani kufuga kucha moja ya Mwisho,ila ukapotea,maana ya kuona ni kichaka cha uchafu
-Kula na mtu wa aina hiyo ni balaa
-Kupeana mikono na mtu wa namna hiyo ni balaa zaidi
-Contamination,ambapo kila unachoshika kutokuwa salama kwa wenzio,na wenye uelewa ambao ni wengi kuepuka mazingira ya namna hiyo.


Unaweza kuona upo sawa ila watu wanaona tabu kukuambia,ila ni kinyaa sana Mwanaume kuwa na kucha ndefu
 
Back
Top Bottom