Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

shiumiti

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
435
Reaction score
19
Gari iko katika hali nzuri sana...

Transmission: Automatic
Year: 2000
Doors: 5
Engine Capacity: 1995 cc
Fuel: Petrol
Colour: Pearl
Mileage: 80,877km

Improted from Japan April, 2010
Bei 9 million, maelewano yapo......kwa walio serious tu; contact 0653429821
 
Mmmmmhhhh bei kubwa sana gari ina miaka miwili unauza mil 9? Kwa bei hyo bora niagize japan,ninue kule kwa CIF ya 2800USD na nije kulipia 4m Kodi hapo total itakua approx kama mil 8 hivi acha wizi wa mchana wewe,watz wameelimika siku hizi
 
Gari iko katika hali nzuri sana...

Transmission: Automatic
Year: 2000
Doors: 5
Engine Capacity: 1995 cc
Fuel: Petrol
Colour: Pearl
Mileage: 80,877

Improted from Japan April, 2010
Bei 9 million, maelewano yapo......contact 0653429821
Mkuu GX 100 ipi,ni zile buti yake imelala kwa nyuma au hizi nyingine zenye taa za duara? Pili,ni four au six cylinders? Tatu,kwa nini usiweke picha angalau tuone,hasa mbele,nyuma,engine na ndani,if you are serious.
 
Hujazuiwa kununua toka japan.

Ukienda Yard za magari utakuta hiyo inaenda kwa 11m au 12m.

From Japan kwa $2800 (CIF) Gx 100 (2000) labda iwe na zaidi ya 150,000km.
Unazungumzia mil 8; vipi kuhusu risk ya kutapeliwa, muda wa kusubiri je? Hivi ndo unasema waTz tume "elimika"????

Waache wenye pesa zao wanunue mashine hiyo.
 
Haaaaaaaa Realman unanichekesha sana tena sana,ngoja nikufafanulie

1.Gari unaouziwa wewe kwenye yard imezidi kuanzia mil1.5-3m,kama ni mil 11mil mpaka 13m basi ujue wao wameleta kwa mil8 hadi 9mil,sasa kwa nini ninunue gari limetumika bongo miaka miwili tena kwa bei zaidi ya bei ambayo mimi ningeagiza kutoka japan?

2.Kwa taarifa yako ukinipa gari zote za aina moja iliyotumika bongo na ina km15,000 na iliyotumika japan ina km 160,000 nachagua ya japan yenye km nyingi,mie gari nayotembelea niliagiza japani na ilikua na km 130,000 lakin ni mpya sana condition nzuri sana,za bongo si ndo hizo zinazopita bara bara ya mtogole?

3.Dunia ni kijiji,siwezi kuruhusu uwaibie watu kwa kuweka bei ya juu,bora tuwaelimishe hela ngumu sana hauwezi mtapeli mtu wakati ma GT tupo tunashuudia,nasisitiza bei hyo ni kubwa sanaaaa labda kwa mil5 reasonable

Risk ya kutapelia:
Utanunuaje gari japan kichwa kichwa tu? Kuna watz wengi tunawajua wapo jpn kwhy nitaagiza kwa kumtumia huyo mtu na mie ndo nilivyofanya pili kama haumjui mtu unaweza tumia paytrade(tradecarview) na pia kuhusu risk hata bongo kuna risk ya kuibiwa vile vile

Mda wa kusubiri ni siku 21-24 hadi bongo na wiki moja tu mpaka unaiclear,so waiting time ni mwezi m1 so waitin time sio issue kwani umewezaje kusubiri kuchanga hela zaidi ya miaka ndo ushindwe kusubiri mwezi?
So hoja zote hazina mashiko
 
Hujazuiwa kununua toka japan.

Ukienda Yard za magari utakuta hiyo inaenda kwa 11m au 12m.

From Japan kwa $2800 (CIF) Gx 100 (2000) labda iwe na zaidi ya 150,000km.
Unazungumzia mil 8; vipi kuhusu risk ya kutapeliwa, muda wa kusubiri je? Hivi ndo unasema waTz tume "elimika"????

Waache wenye pesa zao wanunue mashine hiyo.

Yard nyingi zinauza magari ya wizi kuweni makini wanabadili namba moja tu ya mwisho kwenye chesesi namba wanashirikiana na TRA
 
mi simo bwana, sijawahi kufikiria kumiliki gari, uwezo wangu kuchangia hapa jamvini tu
 
Mkuu GX 100 ipi,ni zile buti yake imelala kwa nyuma au hizi nyingine zenye taa za duara? Pili,ni four au six cylinders? Tatu,kwa nini usiweke picha angalau tuone,hasa mbele,nyuma,engine na ndani,if you are serious.

Kaka niko serious.. nimejaribu kuweka picha inakataa...nitapiga tena na kujaribu kuiweka... Maelewano yako kaka. Gari iko ktk hali nzuri sana. Haijatumika sana...maana nimenunua gari nyingine.
 
imani yangu kwa wabongo ni ndogo sana, ingekuwa anayeuza ni mhindi ningefikiria kununua lakini msongo na hizi njia za mtogole, lazima ina shida hiyo ndo anatafutwa mtu wa kumtupia 'huyo' mke alochoka
 
Gari iko katika hali nzuri sana...

Transmission: Automatic
Year: 2000
Doors: 5
Engine Capacity: 1995 cc
Fuel: Petrol
Colour: Pearl
Mileage: 80,877

Improted from Japan April, 2010
Bei 9 million, maelewano yapo......contact 0653429821

Nimejaribu kuweka picha......nitaweka pia picha zingine
 
Attachments

imani yangu kwa wabongo ni ndogo sana, ingekuwa anayeuza ni mhindi ningefikiria kununua lakini msongo na hizi njia za mtogole, lazima ina shida hiyo ndo anatafutwa mtu wa kumtupia 'huyo' mke alochoka

Kaka sio kila mtu anauza gari akiwa na shida. Nimeamua kuuza kwa sababu tu nimenunua gari lingine. Najua wewe sio mnunuzi, na ni afadhali kama hunauwezo kaa kimya. Kuna wanaOhitaji watawasiliana nami. GARI NI NZURI NA HAINA TATIZO LOLOTE. Check hizo picha
 
Attachments

mbona tyre zake zimeishakuwa na kipara???:A S embarassed::juggle:
Pamoja na hilo,inaonekana hili gari limetembea sana.Isitoshe kuna kale kaujanja cha kupunguza odo meter.Hii pia ni Six cylinder! Kuweni makini!
 
Hizo tyre zake ni KUMHO ambazo hazina kashat kubwa. Naamini wanaojua magari hapo tunaelewana. Kama uko serious na unataka kuiona physical unaweza kuiona wakati wowote.
 
Usijaribu kuhisi wewe... Ndo maana nimeweka picha ili walio serious waweze kuona. Naona wewe hauko serious. Ni vyema ukanyamaza kuliko kubwabwaja tu. Usijionyesha kama unaweza kuandika through great thinkers Website. Acha wanaohitaji magari waongee. pusi weee!!!!!
 
Mkuu GX 100 ipi,ni zile buti yake imelala kwa nyuma au hizi nyingine zenye taa za duara? Pili,ni four au six cylinders? Tatu,kwa nini usiweke picha angalau tuone,hasa mbele,nyuma,engine na ndani,if you are serious.

GX100=2000cc=6 cylinders
SX100=1800cc=4 cylinders
 
Hizo tyre zake ni KUMHO ambazo hazina kashat kubwa. Naamini wanaojua magari hapo tunaelewana. Kama uko serious na unataka kuiona physical unaweza kuiona wakati wowote.

Hizo tairi za KUMHO zimetembea kilomita ngapi? Au ndizo zilikuja na gari? Gari ulipoliagiza Odometer ilikuwa ngapi na sasa inasomekaje?
 
Kaka sio kila mtu anauza gari akiwa na shida. Nimeamua kuuza kwa sababu tu nimenunua gari lingine. Najua wewe sio mnunuzi, na ni afadhali kama hunauwezo kaa kimya. Kuna wanaOhitaji watawasiliana nami. GARI NI NZURI NA HAINA TATIZO LOLOTE. Check hizo picha

Kwani nani hazijui karolaiti?
 
Back
Top Bottom