INAUZWA Nauza Godoro used 5/6

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,716
2,000
Duh jamaa ana user id mbili? Moja anaandika anauza ya pili anaweka bei... Thread za joke hizi sio jukwaa lake... Litakuwa na kunguni sana kawachoka
 

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,348
2,000
Una Id ngapi?
5500? are you serious au hilo godoro umeiba?
Duh jamaa ana user id mbili? Moja anaandika anauza ya pili anaweka bei... Thread za joke hizi sio jukwaa lake... Litakuwa na kunguni sana kawachoka
Hahaha linaweza kuwa la urithi. Alinunua babu, hata mjukuu ametumia.
Wakuu,

Nilimsaidia tu kuweka bei si unajua tena watu ka hawa wanahitaji msaada sometimes sasa kaweka bidha bila bei tufanyeje .

Lakini nilikuwa mule mule au sio wadau
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom