shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,337
kaka namba A hiyo inakuharibia biashara. hata gari liwe zima vipi kwa sisi wabongo kununua namba A kwa bei hiyo ni ngumu sana..
Ipo katika hali nzuri sana na haijatumika sana pia ilinunuliwa mpya km 0.