why unaiuza wakati umeinunua mwaka huu-huu? ni automatic au manual?Salaam wanaJF,
Nahitaji kuuza gari zangu tatu. Hii ni kwa kuwa zinakaa hazina kazi na mimi nahitaji gari moja tu kwa mizunguko yangu. Nimekuwa nikizipark ila sasa kama ilivo kama gari ikikaa sana inakufa betri,ni bora nikauza nipate fedha nifanye mambo mengine.
Naanza kwa kuuza moja moja, ikitoka ndo nitangaze nyingine. Nina corolla E100, ninauza Gx 100 grande na Pajero mini.
Nauza kwanza PAJERO MINI
Details:
Gari ni Pajero Mini
Year : 1998
cc 660
Import date/month: September 2013
colour: Silver and green
Door : 3 doors
Re
Other: Dvd radio, plays cd and usb flash music, Four Wheel gear where required, Spoiler, sport lights,sport reams,roof rails.
Condition: Used japan,looks and runs great.
Reigstration sequence. T667 CPF
Price: 8,000,000/=
Contacts: PM / OR 0782992269
Outlook: Photos attached.
Location : Arusha- Tanzania.View attachment 119310View attachment 119311View attachment 119312View attachment 119313
why unaiuza wakati umeinunua mwaka huu-huu? ni automatic au manual?
Other: Dvd radio, plays cd and usb flash music, Four Wheel gear where required, Spoiler, sport lights,sport reams,roof rails.
Hapa kwenye nyekundu ndio nini?
I think He was meaning DVD Player.
Mkuu ukiangalia picha vizuri inaonekana ni automatic
we sema ndio biashara yako hhauta daiwa pesa ya tangazo
Ukiangalia picha vizuri inaonekana ni automatic, ila ki-uhalisia siyo automatic, si ndiyo?
kaza macho mkuu. Usipoona vizuri mwaga maji hiyo screen unayotumia itakuwa ina vumbi kiuhalisia
Niikuwa najribu ku-analyse statement yako, bia kujali ninaweza kuona au siwezi. Maana unaposema kuwa "ukiangalia picha vizuri inaonekan ni automatic", ni kama kwa upande mwngine inaweza isiwe automatic
Kweli aisee.. Raia wengne wanaboa sana.. Bora kuwa mkweli, maelezo yake ukiyasoma kwa makini utagundua huyu ni dalali tu.. Eti nibaki na moja la kutembelea.. Alinunua yote matatu ya nini sasa, na inaonekana yote yamenunuliwa ndani ya mwaka huu au recent months tu!
All the best dalali..