Nauza gari yangu

Nauza gari yangu

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Jamani nauza gari yangu aina ya super custom maisha magumu imenishinda nauza mil 7 tu ipo fresh haina tatizo lolote natumia mpaka sasa! kwa maelezo zaido piga hata 0712212220
 
Pia nauza gari yangu aina ya rosa kwa daladala ipo fresh inapiga kazi mpaka sasa inasanya mwenge-bunju bei mil 25 ipo poa kabisa! kwa mawasiliano piga hapa 0712212220
 
Hata mimi nauza TVS KING yangu bado ipo poa sana.Mawasiliano:0713698405
 
Jamani nauza gari yangu aina ya super custom maisha magumu imenishinda nauza mil 7 tu ipo fresh haina tatizo lolote natumia mpaka sasa! kwa maelezo zaido piga hata 0712212220
Ungetuwekea picha ingesaidia sana watu kufanya uamuzi. Pia ungeweka maelezo mengine kama aina ya nishati inayotumia, ukubwa wa engine, imetengenezwa mwaka gani, umeitumia kwa muda gani, n.k.
 
sio tatizo subiri nijipange niwawekee na picha na hayo maelezo!
 
dalali hasemi maeneo ni wapi mana wenziwe watampiga bao ila mm ndio mwenyewe njooni mumuulize hata nani madalali wanapandisha sana bei za vitu ila nyie njooni kama nyumba sio ya kaka angu ni ya baba angu!
 
kha! sasa unauza na maghorofa ya baba na kaka? mnagawana urithi kabla eeh? nakutania mwaya,pole kwa kupigika.na mie nimepigika,otherwise ningekutoa
dalali hasemi maeneo ni wapi mana wenziwe watampiga bao ila mm ndio mwenyewe njooni mumuulize hata nani madalali wanapandisha sana bei za vitu ila nyie njooni kama nyumba sio ya kaka angu ni ya baba angu!
<br />
<br />
 
Sasa ukiuza urithi watoto wako watarithi nini? utamaduni wetu ni kurithishana....
 
Wewe mkuu mbona unauza vitu vingi sana manzese, magari mashamba kigamboni kibaha ....... Unatupa mashaka au unataka kufa!
 
nauza kwasababu ni vya kwangu wala sio vyenu na nyie uzeni wala sitowabugudhi au mnaona mi nitapata sana! waswahili ndio mlivyo ingekua kule ulaya kwetu fresh tuu! maana inaeleweka kama kila mwisho wa mwaka wanabadilisha vitu!
 
Hataki kuitwa dalali, yeye anauza mali ya baba na kaka tu! lolest
 
Back
Top Bottom