Nauza Gari yangu mpya IST

kwanini mnaziita gari za uber,? naombeni mnifahamishe
Gari za biashara ambazo hazina usajiri wa vituo maalumu bali hufanya kazi kwa njia ya mtandao wa kidalali uitwao Uber kuunganisha dereva na abiria hufatwa alipo na kupelekwa atakapo kwa gharama nafuu.
 
Unakataa na kukubali hilohilo nilolisema kwa kujaribu kutolea ufafanuzi tofauti na wangu.
Kubali usikubali wengi wameingia mkenge na biashara hiyo na wameambulia hasara.
 
Kitu kimesimamia kucha. Je ilikuwa inafanya biashara gani au ilkuwa ya matumizi binafsi, maana naona plate namba ni nyeupe.

Alafu naona ni kms 30000 tu, je ulinunua kiwandani ukalitumia au ulinunua used.
Wengine wanazinunua lakini hawatumii sana ndo mana hata ukicheki online shops kama be forward au sbt unakuta zinatofautiana bei.
 
Una uzoefu ghan wa kutumia gar acha kukatishaaa watu tamaa mwache mteja aje kuangalia gari
Sina hata baiskeli mkuu ila nimejaribu kuongea nachokifahamu, samahani kama nimeharibu biashara ila ndo ukweli wake.
 
Unakataa na kukubali hilohilo nilolisema kwa kujaribu kutolea ufafanuzi tofauti na wangu.
Kubali usikubali wengi wameingia mkenge na biashara hiyo na wameambulia hasara.

Ila bado Uber imetoa ajira kwa vijana wengi sana, at least unaona hata wanawake wanaendesha taxi kwa sasa!
 
Imepiga safari nyingi sana?
 
Ila bado Uber imetoa ajira kwa vijana wengi sana, at least unaona hata wanawake wanaendesha taxi kwa sasa!
Mambo vipi mkuu...hii gari nimeiona leo maeneo ya aureke(wanapotengenezs tofali pale) upo pande hizo nini?
 
mkuu...hii gari ni ya 2004, leo ni 2019....alafu unaliita jipya!
 
huyo Ontario ana biashra gani anayomiliki
 
Gari yangu haijafanya kazi za Uber na Ina 31000 km tu, gari ipo kwny hapo nzuri sana maana mda mwingi haiendeshwi
Dhumuni la kuinunua lilikuwa nini kama 'haiendeshwi' muda mwingi?

Maana lugha hii tunakutana nayo sana kwa madalali.
 
Dhumuni la kuinunua lilikuwa nini kama 'haiendeshwi' muda mwingi?

Maana lugha hii tunakutana nayo sana kwa madalali.

That’s too personal!

Naamini una nguo zaidi ya moja, nikikuuliza Kwanini baadhi ya nguo ulizonazo huwa huvai mara nyingi sidhani km utakuwa na jibu la moja kwa moja!

Km unahitaji gari njoo tuzungumze, number ziko hapo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…