kwanini mnaziita gari za uber,? naombeni mnifahamisheGari za uber zipo pale quality plaza zinauzwa kwa bei isiyozidi 7 mil.
Hii biashara imewaingiza wengi mkenge na wamejikuta wakiambulia hasara tu.
Mjuaji wa gari hawezi nunua gari iliyokwishafanya biashara ya uber kwa milion 10 mkuu samahani lakini huo ndio ukweli.
kwanini mnaziita gari za uber,? naombeni mnifahamishesamahani kwa swali nje ya uzi..
why gari nyingi za uber zinauzwa baada ya miezi mitatu hadi sita baada ya kununuliwa? je ukitest biashara haileti hesabu nzuri
kwanini mnaziita gari za uber,? naombeni mnifahamishe
Hamna faida kaka, labda uendeshe mwenyewe, na ni ili upate hela za chakula na vitu vidogo vidogo kama utaweza, na hapo subiria service ya kufa mtu. Hii ni kama huna kazi mjini, kujiongezea kipato badala ya kukaa miti mirefu. Na ukimpa dereva imekula kwako, hakuna cha hesabu wala nini zaidi ya kulundikiwa mafaini ya traffic na zile 25% za Uber, na gari kuharibika sana sana, utasaga meno...Tatizo rate za uber/taxify/ping etc ni ndogo mno mno...samahani kwa swali nje ya uzi..
why gari nyingi za uber zinauzwa baada ya miezi mitatu hadi sita baada ya kununuliwa? je ukitest biashara haileti hesabu nzuri
huoni plate number nyeupe hiyo gari ya biashara na sio private kama zile nyingine zenye plate number ya njano........kwanini mnaziita gari za uber,? naombeni mnifahamishe
thanks nami nimepata idea kidogohuoni plate number nyeupe hiyo gari ya biashara na sio private kama zile nyingine zenye plate number ya njano........
siyo kweli. Ninazo mbili...nilipata shida na madereva mwanzoni...sasa hivi hali imetulia baada ya moja kumuajiri mwanmke..hakuna gari ya uber/taxify asiyeingiza chochote..ila ukipata dereva mshenzi lazima utajuta.All in all hakuna biashara iliyo rahisi....labda ya Ontario au D9Gari za uber zipo pale quality plaza zinauzwa kwa bei isiyozidi 7 mil.
Hii biashara imewaingiza wengi mkenge na wamejikuta wakiambulia hasara tu.
Mjuaji wa gari hawezi nunua gari iliyokwishafanya biashara ya uber kwa milion 10 mkuu samahani lakini huo ndio ukweli.
Hakuna kitu kinaitwa biashara ya Ontariosiyo kweli. Ninazo mbili...nilipata shida na madereva mwanzoni...sasa hivi hali imetulia baada ya moja kumuajiri mwanmke..hakuna gari ya uber/taxify asiyeingiza chochote..ila ukipata dereva mshenzi lazima utajuta.All in all hakuna biashara iliyo rahisi....labda ya Ontario au D9