Nauza gari yangu aina ya Raum iko dodoma

Nauza gari yangu aina ya Raum iko dodoma

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
-Raum old model

-Cc 1490

-Low in mileage

Fuel use-petrol

Mode of transmission-Automatic

-gari ni nzima na inatembea

-iko nkuhungu dodoma

BEI-4,500,000/=

MAWASILIANO
0767833496
0622111186

NB-Gari yangu sio dalali
IMG_20190517_132200_0.jpeg
IMG_20190517_132000_9.jpeg
IMG_20190517_132116_7.jpeg
IMG_20190517_132406_6.jpeg
IMG_20190517_132457_7.jpeg
IMG_20190517_132731_6.jpeg
IMG_20190517_075003_9.jpeg
 
Haahaa acha kuzingua mkuu
Unaona gari namba A bado unauliza kakaa nayo miaka mingapi?
Haakuna uhusiano na wewe kulinunua inachotakiwa uikague Kama ni nzima basi ya miaka hayasaidii maana ushaiona namba A hapo
Umeishi nayo kwa miaka mingapi mkuu
 
Umeishi nayo kwa miaka mingapi mkuu
Mkuu kwa mujibu wa kadi ya Gari, Gari iko barabarani hapa Bongo tangu 2008 so ni miaka 11 hadi sasa, lkn pia muuzaji wa sasa ni Mtumiaji wa 3 tangu gari iingie Tanzania means gari ilikuja ikatumika na Mhindi Kkoo, baadae ikauzwa kwa Chalii wa Arusha then ndio akauziwa huyu mdau wa Dodoma aliye nayo hadi sasa. Hivyo mnunuzi anayetafutwa sasa atakuwa mmiliki namba 4 wa hii gari tangu ifike bongo.
All in all fundi rangi amejitahidi kuiweka gari standard iko poa.
 
Hapa kweli tunasaidiana kwa kurithishana gari,hahahaha
Mpaka gari life utakuta linamfia mtu wa 10 uko

Back
Top Bottom