Wako Mtiifu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2018
- 261
- 626
Ni tamu hasa ,nauza tu basi lakin moyoni naipenda sanaa...Asante mkuu!!Voltz Manual,very rare kibongo bongo.,itakua tamu sana.
All the best kwny biz mkuu.
Nikutakie kila la kheri mkuu.Habari zenu wazeee wa chimbo, nawatakia mapendo mema daima kati yenu
Kama kichwa kinavyojieleza
GARI : Toyota voltz 2003
ENGINE : 1790cc
MKANYAGIO : MANUAL
RANGI : Nyeusi
NAMBA YA GARI : DFZ
MAHALI ILIPO : DAR ES SALAAM
UIMARA NA UBORA : Ipo katika hali nzuri sana
SABABU YA KUUZA : Nataka kubadilisha aina ya gari
BEI : MILIONI KUMI NA MOJA NA NUSU (11.5M)
MAWASILIANO : PM
View attachment 1022116
View attachment 1022118
Kama unaipenda chukua muda kidogo mana unwezakumbana na kimeo hayo machuma hayana dhamana.Ni tamu hasa ,nauza tu basi lakin moyoni naipenda sanaa...Asante mkuu!!
Asante bro!!Nikutakie kila la kheri mkuu.
Ila hongera , tangazo lako limejitosheleza maelezo
Sent using Jamii Forums mobile app
kukumbana na kimeo kivipi mkuu, samahani sijakuelewa.Kama unaipenda chukua muda kidogo mana unwezakumbana na kimeo hayo machuma hayana dhamana.
Unaweza pata ambalo baada ya kulitumia lisikuvutie kama unalo miliki sasa au upate litakalo kupeleka gereji kila baada ya muda mchachekukumbana na kimeo kivipi mkuu, samahani sijakuelewa.
ooh uko sahihi kabisa mkuu, Asante kwa Ushauri!!Unaweza pata ambalo baada ya kulitumia lisikuvutie kama unalo miliki sasa au upate litakalo kupeleka gereji kila baada ya muda mchache
Asante pia mkuu, nisambazie upendo hata kwa washkaji zako
Tuongeze mapambano mkuu kuzisaka!!Hii gari naitaka siku nyingi sana.
Tena manual daaa hizi hela kwanini lkn!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app