Nauza gari toyota rav 4

Nauza gari toyota rav 4

Pescam

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Model 1997
odometer 85,000
bei million 13,700,000.
Namba chc
double airbag
haijatumika hapa tz.
Import from japan
check photo.
Contact 0756 600311, 0782 335151
 
Attachments

  • BF89288_1.jpg
    BF89288_1.jpg
    54.6 KB · Views: 262
  • BF89288_6.jpg
    BF89288_6.jpg
    58.6 KB · Views: 216
  • BF89288_7.jpg
    BF89288_7.jpg
    56.9 KB · Views: 214
  • BF89288_8.jpg
    BF89288_8.jpg
    49.8 KB · Views: 194
  • BF89288_21.jpg
    BF89288_21.jpg
    51.8 KB · Views: 193
Gari ina sura mbaya lakini roho yake nzuri sana, dah natamani ninunue ila bei imechangamka sana mkuu. Adjust kwa 9m tunaweza ongea
 
Model 1997
odometer 85,000
bei million 13,700,000.
Namba chc
double airbag
haijatumika hapa tz.
Import from japan
check photo.
Contact 0756 600311, 0782 335151

Chc na haijatumika bongo wakati hii namba imetoka miezi saba iliyopita u cnt be serious
 
Chc na haijatumika bongo wakati hii namba imetoka miezi saba iliyopita u cnt be serious

Sio tu hayupo serious bali pia sio mkweli!!!

Picha za Japan (be forward) namba CHC unless kama imesajiliwa Japenga
 
Alie kuwa serious katika biashara aongee acheni kucomment tu your wasting your time for nothing. offer hiyo iko chini sana sana kwa gari hiyo.
 
Sio tu hayupo serious bali pia sio mkweli!!!

Picha za Japan (be forward) namba CHC unless kama imesajiliwa Japenga

Chezesha akili kidogo tu mkuu.
Haya magari tunaponunua online hua wanaweka na picha za kutosha tu. Na kama mtu uko interested na gari hakuna ubaya uki-download hizo picha, pengine unaweza ukazitumia hata kuwaonyesha washkaji au familia kua hizo ndo picha za gari ulioagiza.

Sasa inatokea siku unaiuza, kuna ubaya ukitumia picha zilezile za Japan kama una uhakika gari haijabadilika?
 
Angalia avatar yako halafu na wewe chezesha akili japo kidogo kuhusu masuala ya picha!!!!

Hao wajapani mbona hawakukuwekea picha ya lilipokuwa linatoka kiwandani?????
 
Back
Top Bottom