Mkuu hata picha unashindwa kutupia?Nauza gari aina ya Toyota PROBOX. Kwa anayehitaji twaweza kuwasiliana.
> Gari ni ya mwaka 2008
> Imetembea (kilometa) 42000km
> Ukubwa wa injini ni Cc 15000
> Ni Automatic
Maelezo zaidi yatatolewa kwa atakayekuwa anahitaji. Gari ni zima linatembea kila siku na linatumika kwa matumizi ya nyumbani/familia tu.
Asanteni
Samahani, ila asnate. Nitaweka baadaye kidogo, sinazo hapa kwa sasa.Mkuu hata picha unashindwa kutupia?
Gari ni yangu mwenyewebro hujatimiza maelezo bei namba ya simu picha za gari na wewe ni mwnye gari au dalali
Dahh, kweli meli> Hahaa, Asante kwa hilo. Nita-editMkuu injin 15000cc??????imekua meli hyo
Leo utakuwa ulisahau miwani nyumbani eeeMkuu injin 15000cc??????imekua meli hyo
Leo utakuwa ulisahau miwani nyumbani eee
bei muhimu
Kukosea kupo.Leo utakuwa ulisahau miwani nyumbani eee
Mara nyingi engen hizi zinatumika kupanda milima ya kuelekea mbinguni zina nguvu sana.Mkuu injin 15000cc??????imekua meli hyo
Bei ni million 12, inaweza kushuka kama mteja atapatikana mapema.bro tuko serious na biashara au bei mpaka UMUULIZE MWENYEWE
Kweli ni nyingi ila kusema kweli 8 ni chache pia.12 nyingi,ninakupa 8