Nauza gari Lexus is200

Nauza gari Lexus is200

Mi nahisi anauza bei ya chini kwa vile anajua utatakiwa kulilipia kodi kulileta bara.

Siyo kwavile ni bovu.

Wenye hela watampigia wataambiwa kwanini engine imebadilishwa.

Wavimba macho tujitahidi kupita kimyakimya kwenye nyuzi kama hizi. Haswa tunapojijua mifukoni apeche alolo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wavimba macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeitumia miaka 3 hapo Zenji na ikisajiliwa huku bara inapewa no. 'Mpyaaa' za kibongobongo daah.

Ukiweka na mambo yetu ya TRA hapo si mchezo.

All the best kwny biashara hio.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeitumia miaka 3 hapo Zenji na ikisajiliwa huku bara inapewa no. 'Mpyaaa' za kibongobongo daah.

Ukiweka na mambo yetu ya TRA hapo si mchezo.

All the best kwny biashara hio.




Sent from my iPhone using JamiiForums
Siku zote huwa nashauri watu kuwa ukitaka kununua gari usitizame plate number, tizama uzima wa engine.
By the way, kwa mda uliotumika zanzibar, nimesikia (nimesikia tu sina uhakika) ukiivusha hapo hakuna kulipa difference
 
Back
Top Bottom