sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Wakuu, ninauza kagari kangu aina ya mitsubishi minicab vx special edition, pickup truck, inajulikana kama kirikuu,
Ukubwa wa engine ni cc650, ya mwaka 1997 ni Easy Four wheel drive.
Ina hali nzuri sana, popote Tanzania inaweza kufika., nimeweka tyre mpya. Ni Full Manual, 5 gears.
Bei njoo inbox kwenye hii namba ili nikutumie picha yake kama utapenda kununua.
0756000493.