nauza gari (daladala ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nauza gari (daladala )

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kingtz, Oct 26, 2011.

 1. k

  kingtz Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  habari wandugu nauza gari aina (daladala) aina ya ford mwaka 1992 ina hali nzuri bei maelewano picha hapo engine diseal kuna spare ingine na gear box nyingine
   

  Attached Files:

 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Biashara ya daladala kizungumkuti
   
 3. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yani hii biashara pasua kichwa. Kila mtu anaitolea macho afu hamna kinachopatikana. Mara utasikia majembe, trafic,polisi wa tigo, mateja, konda na dereva hapo bado hawajapiga panga. Basi dah yani full usumbufu.
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kila biashara ina hussles zake so msiiogope wakuu
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  true!! kila biashara inausumbufu wake! kujaribu ni kuzuri
   
 6. D

  Daz_k Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona iko juu ya vigogo!
   
 7. k

  kingtz Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  usiwe na wasiwasi hio gari haijatumia kama 4 month ndio mana nikatoa tairi
   
Loading...