hiyo ML 320 ni bei au series??Nauza Gari aina ya Benz ML 320 colour ya Dark Blue mileage ni 184,345 ipo kwenye condition nzuri inatembea kwa mawasiliano zaidi nicheki PM.
Bei na maongezi ya ziada tuwasiliane chemba.
Bei ni reasonable kabisa.
Asante
mkuu bei ni mil 3.20, 32.0 au 320!? hebu rudia tena huenda ni typo hapo kwenye bei
Mhh.. mil320 hivi jamani hapo siwezi kupata BMW X5 or X6?
hiyo ML 320 ni bei au series??
Okei, hapa nimekuelewa.Bei sikuweka mkuu ila hiyo ni Model ML 320 ukitaka bei njoo chemba boss
Ml ni model namba na 320 ni 3200cc nimejibu kiufundihiyo ML 320 ni bei au series??