Nauza gari aina ya suzuki swift mpya

ribussama

Member
Dec 11, 2016
94
42
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya sh mil saba na laki tano tu. Karibuni unaweza kupiga namba hii kwa mawasiliano zaidi 0718476238
 
DLK si umesajir juzi tu hii mkuu!! kwanini unaiuza??

anyway, toa na specifications zake kabisa
 
Hizi gari Hazina soko ukiingia mkenge kununua tegemea kuuza Kwa hasara. Mimi ishanitokea. Kama itapendeza chukua 4.5
 
Jaman msiulize ni kwa nn anauza najua ndio hazina soko lakin mwwnye pesa amsaidie ujui ana shida gani,nashauli pia wakati wakununua magari tujaribu kujibana kununua gari ambayo kesho na keshokutwa ukipata shida inauzika alaka mfano RV4 old model, Toyota Carina n.k
 
Million tatu unusu itapendeza zaidi tuwasiliane kama una nia ya kuuza kweli
 
Namuonea huruma sana. 4.5 ningempa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…