5 haitadhuruKama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya sView attachment 629225View attachment 629226View attachment 629227View attachment 629228View attachment 629229View attachment 629230View attachment 629231View attachment 629232View attachment 629233h mil saba na laki tano tu. Karibuni unaweza kupiga namba hii kwa mawasiliano zaidi 0718476238
Namuonea huruma sana. 4.5 ningempapmuta said:Jaman msiulize ni kwa nn anauza najua ndio hazina soko lakin mwwnye pesa amsaidie ujui ana shida gani,nashauli pia wakati wakununua magari tujaribu kujibana kununua gari ambayo kesho na keshokutwa ukipata shida inauzika alaka mfano RV4 old model, Toyota Carina n.k
Zina nini hizi gari mkuu?!!maana hapo ataitangaza sana watu hawafiki bei nipe siri ya urembo?!!Namuonea huruma sana. 4.5 ningempa
Hazina soko, hazina nguvu,Zina nini hizi gari mkuu?!!maana hapo ataitangaza sana watu hawafiki bei nipe siri ya urembo?!!
Kwann mkuuuHizi gari Hazina soko ukiingia mkenge kununua tegemea kuuza Kwa hasara. Mimi ishanitokea. Kama itapendeza chukua 4.5