Nauza gari aina ya suzuki swift mpya

ribussama

Member
Dec 11, 2016
94
42
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya s
20171024_175248.jpg
20171024_175213.jpg
20171024_175203.jpg
20171014_150503.jpg
20171014_150427.jpg
20171014_150418.jpg
20171014_150400.jpg
20171012_085204.jpg
20171014_150231.jpg
h mil saba na laki tano tu. Karibuni unaweza kupiga namba hii kwa mawasiliano zaidi 0718476238
 
DLK si umesajir juzi tu hii mkuu!! kwanini unaiuza??

anyway, toa na specifications zake kabisa
 
Hizi gari Hazina soko ukiingia mkenge kununua tegemea kuuza Kwa hasara. Mimi ishanitokea. Kama itapendeza chukua 4.5
 
Jaman msiulize ni kwa nn anauza najua ndio hazina soko lakin mwwnye pesa amsaidie ujui ana shida gani,nashauli pia wakati wakununua magari tujaribu kujibana kununua gari ambayo kesho na keshokutwa ukipata shida inauzika alaka mfano RV4 old model, Toyota Carina n.k
 
Million tatu unusu itapendeza zaidi tuwasiliane kama una nia ya kuuza kweli
 
pmuta said:
Jaman msiulize ni kwa nn anauza najua ndio hazina soko lakin mwwnye pesa amsaidie ujui ana shida gani,nashauli pia wakati wakununua magari tujaribu kujibana kununua gari ambayo kesho na keshokutwa ukipata shida inauzika alaka mfano RV4 old model, Toyota Carina n.k
Namuonea huruma sana. 4.5 ningempa
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom