Nauza gari aina ya Nadia

Dr Kingu

Senior Member
Jun 13, 2011
155
170
heri ya sikukuu ya christmas wanaJamii wote. Bila shaka mnaendelea kusheherekea sherehe ya kuzaliwa mwana wa Mungu kwa amani na utulivu. Wakuu nimeamua kuuza mkoko wangu sababu ya kuuza ni kwamba nataka niongeze hela ninunue gari nyingine kubwa kidogo kwa hii. Specification zipo kama ifuatavyo:
make: Toyota, Model: NADIA, Model number SXN10; body type: station wagon, colour: Black, year of manufacture:2000
engine ni ya rava 4 number 3S100046742:
engine capacity 1990
fuel used Petrol
inacomprehensive insurance inaexpire february. Bei ni million 12, maelewano yapo. Odo inasoma 162000: kwa mawasiliano piga 0756865531
motor vehicle insurance inaexpire May 2014
 
Dr Kingu

Senior Member
Jun 13, 2011
155
170
nimekaa nayo mwaka mmoja na nusu haijawahi nisumbua. Trip zangu mara nyingi ni kwenda nayo kazini tu. Kwa sasa ipo songea.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,543
2,000
heri ya sikukuu ya christmas wanaJamii wote. Bila shaka mnaendelea kusheherekea sherehe ya kuzaliwa mwana wa Mungu kwa amani na utulivu. Wakuu nimeamua kuuza mkoko wangu sababu ya kuuza ni kwamba nataka niongeze hela ninunue gari nyingine kubwa kidogo kwa hii. Specification zipo kama ifuatavyo:
make: Toyota, Model: NADIA, Model number SXN10; body type: station wagon, colour: Black, year of manufacture:2000
engine ni ya rava 4 number 3S100046742:
engine capacity 1990
fuel used Petrol
inacomprehensive insurance inaexpire february. Bei ni million 12, maelewano yapo. Odo inasoma 162000: kwa mawasiliano piga 0756865531
motor vehicle insurance inaexpire May 2014

Kuna factors nyingi za kuangalia wakati unaweka bei.

Mfano je kwa hiyo 12mil yako, siwezi kupata imported?

Au kama ina engine ya Rav4, haiwezi kua kwamba kifupi imeshachokonolewa engine hivyo kushuka hadhi?? Au imekuja hivyo hivyo??

Bima inaisha Miezi miwili ijayo, hii nayo inapunguza value ya gari Mkuu.

Yaani hapo parefu kwa kweli kwa gari yenye sifa ulizotaja
 
mkuu nashukuru kwa post nzuri:
hii gari engine yake imekuja nayo na gari. In short hii gari ilikuwa ikitumiwa na wajapan katika miradi yao mpaka mimi nilipo nunua, na haijawahi nisumbua. Kuhusu kupata nyingine aina kama hii kwa bei hii ikiwa imported sijui labda utembelee show rooms ingawa naamini itakuchukua muda mrefu kupata. Pia swala la insurance ambaye yupo tayari kununua nipo tayari kumlipia kwa next year lakini asipunguze bei, zaidi ya hapo. Karibu boss wangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom