Nauza gari aina ya grand vitara

Nauza gari aina ya grand vitara

Lyatuu the Great

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
212
Reaction score
85
Hapo nilikua safari ndio maana inaonekana imechafuka.first registratio ni 17/8/2010
make susuzi
Model Grand vitara
Model number j20A
Body type Station wagon
Colour green
Class light paasenger vehicle(less than 12)
Year of manufactute 1998.
Engine capacity 1995
Fuel used petrol
Number of axles 2
Imported from japan. Kama kuna swali zaidi uliza.

Picha za gari husika
 
Jipange vizuri utoe tangazo litakalo uza gari yako tena ukizingatia ni manual
 
huyu jamaa si kwamba anauza gari mnalolifikiria nyie ndo maana katoa namba muongee chemba.
 
Picha za gari yenyewe hizo. Bek ni 9 ml ila inapungua.
 

Attachments

  • 1400448001604.jpg
    1400448001604.jpg
    121.1 KB · Views: 289
  • 1400448038928.jpg
    1400448038928.jpg
    100.5 KB · Views: 290
  • 1400448054688.jpg
    1400448054688.jpg
    106.3 KB · Views: 269
  • 1400448069721.jpg
    1400448069721.jpg
    101 KB · Views: 250
  • 1400448086913.jpg
    1400448086913.jpg
    105.9 KB · Views: 276
Hapo nilikua safari ndio maana inaonekana imechafuka.first registratio ni 17/8/2010
make susuzi
Model Grand vitara
Model number j20A
Body type Station wagon
Colour green
Class light paasenger vehicle(less than 12)
Year of manufactute 1998.
Engine capacity 1995
Fuel used petrol
Number of axles 2
Imported from japan. Kama kuna swali zaidi uliza
 
Nilikua kwenye Uaimbaji wa kantate domino kwa wale wakristo hasa kkkt wanajua leo ndio siku ya uimbaji ndio maana nikashidwa kupost vitu mlivyovihitaji kwa wakati sory for that ila niko serious kwa hili na wala sio utani kwa anayehitaji awasiliane nami au kama kuna swali aulize nitamjibu
 
Hii ndio gari yenyewe
 

Attachments

  • 1401370962033.jpg
    1401370962033.jpg
    38.9 KB · Views: 204
  • 1401370982435.jpg
    1401370982435.jpg
    40.9 KB · Views: 200
  • 1401370995900.jpg
    1401370995900.jpg
    48.5 KB · Views: 198
  • 1401371045088.jpg
    1401371045088.jpg
    71.8 KB · Views: 197
  • 1401371060905.jpg
    1401371060905.jpg
    84 KB · Views: 185
  • 1401371072643.jpg
    1401371072643.jpg
    90.3 KB · Views: 174
  • 1401371087436.jpg
    1401371087436.jpg
    75.4 KB · Views: 177
  • 1401371100487.jpg
    1401371100487.jpg
    88.5 KB · Views: 189
Hapo nilikua safari ndio maana inaonekana imechafuka.first registratio ni 17/8/2010
make susuzi
Model Grand vitara
Model number j20A
Body type Station wagon
Colour green
Class light paasenger vehicle(less than 12)
Year of manufactute 1998.
Engine capacity 1995
Fuel used petrol
Number of axles 2
Imported from japan. Kama kuna swali zaidi uliza.

Picha za gari husika

Hii itakuwa 6 cylinder! Kuna zile za 1600cc, zinaunafuu kwenye ulaji wa mafuta hasa kwenye foleni! Ni gari nzuri hiyo mdau sawa na RAV4, isipokuwa mafuta na foleni kama ni kwa Dar hasa kwa hela za kuunga unga. Hizo utaenjoy ukiwa mikoani, Escudo na RAV4 utazipendaje?!
 
Hii ni cc 1995 na inatumia lita 1 kwa 10 km mbona ulaji wa mafuta ni wa kawaida.
 
I have been reading your articles but i am sorry to inform you that you are just trying to incite hatred among the people.Please be informed that Europe is also trying to expand itself by getting more countries to join it. In the present world you can only survive if you are strong and united.People like you should never get a chance to use the media. You are the ones who are sawing the seeds of hatrad and confusion among the people. Please give all the people who are living in East Africa a chance to come together as one.

Kasema.1998
 
Back
Top Bottom