Nauza Gari aina starlet

Nauza Gari aina starlet

Bible

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
136
Reaction score
8
Nipo Mwanza - Ukerewe nauza gari aina ya starlet mill.6.
engine capacity 1330
aina B
auto
petrol
mwaka1999
doors 5
haijaguswa engine na imelipiwa kila kitu.nauza sababu ya matatizo.kwa mawasiliano 0714620133
 
Picha sasa


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Mie nahitaji gari, ila niambie ina matatizo gani zaidi ya oil change amabayo ni kawaida.
tufanye biashara.
 
Mie nahitaji gari, ila niambie ina matatizo gani zaidi ya oil change amabayo ni kawaida.
tufanye biashara.

Haina tatizo lolote no shida tu kwa mawasiliano nibeep kweny namba yangu hiyo juu.
 
Back
Top Bottom