M Majutokk Member Joined Oct 29, 2012 Posts 92 Reaction score 23 Mar 28, 2014 #1 Mwenye kuhitaji jokofu naliuza ni nzima kabisa lina mwaka mmoja toka nilinunue dukani aina ya zec nipo mwanza kirumba namba ya simu 0785544661
Mwenye kuhitaji jokofu naliuza ni nzima kabisa lina mwaka mmoja toka nilinunue dukani aina ya zec nipo mwanza kirumba namba ya simu 0785544661
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Mar 28, 2014 #2 Bei gani?
M Majutokk Member Joined Oct 29, 2012 Posts 92 Reaction score 23 Mar 28, 2014 Thread starter #3 Laki tano ila ukiliona tunaweza kuongea kinacho wezakufanyika ili biashara ifanyike
Replies JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,497 Reaction score 453 Mar 28, 2014 #4 Mi na Laki mbili mkuu
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 3,036 Reaction score 8,395 Mar 28, 2014 #5 Majutokk said: Mwenye kuhitaji jokofu naliuza ni nzima kabisa lina mwaka mmoja toka nilinunue dukani aina ya zec nipo mwanza kirumba namba ya simu 0785544661 Click to expand... tupiamo hata tupicha tuwili tutatu basi..... mweeh??!! halafu kama mimi niko moshi suala la usafiri ili inifikie inakuwaje? na je, bei haipungui mkuu? fanya mpango wa picha, ni muhimu sana.
Majutokk said: Mwenye kuhitaji jokofu naliuza ni nzima kabisa lina mwaka mmoja toka nilinunue dukani aina ya zec nipo mwanza kirumba namba ya simu 0785544661 Click to expand... tupiamo hata tupicha tuwili tutatu basi..... mweeh??!! halafu kama mimi niko moshi suala la usafiri ili inifikie inakuwaje? na je, bei haipungui mkuu? fanya mpango wa picha, ni muhimu sana.