- Thread starter
- #21
Unapatikana wapi?? Nahiitaji kesho
Napatikana mwenge au Sinza tuwasiliane kwenye simu pia au whatsapp
Unapatikana wapi?? Nahiitaji kesho
Na mimi pia nahtaj npo dodoma
Na mimi pia nahtaj npo dodoma
Napatikana mwenge au Sinza tuwasiliane kwenye simu pia au whatsapp
Nahitaji Niko Somanga kilwa
Nipo moshi napataje
Nitakuja huko mwisho wa mwez huu nitakutafuta,sijui bado utakuwa nazo?
mkuu please weka picha na hata jina la brand au ni za kampuni gani...
Hivi flash ndo micro cd ama memory card,hebu fafanua nasisi wa mpanda labda itatufaa,,,,,,,,,,
Mkuu nipo Itigi,unatuma mzigo?
Niko kahama tomn nitaipataje boss!
Mpaka niulize sima uhakika na cost na usafiri wa itigi pia. Ila Kama una mtu yupo dar nimpe anayekuja huko Alete
Dar-Itigi(manyoni) 20,000/=
ok, warrant ina maana mbili. Kwenye Law, warrant ni kama authorization, but kwenye Finance, warrant ni kama kinga kwa mteja juu ya anachokinunua mfano nikikuta bidhaa ni mbovu naweza kuirudisha dukani au kutengenezewa bure under specific conditions