Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
[emoji3516]Chukua 120000 mpya zinaizwa Tsh 300k mtaa wa aggrey nyuma
Ahsante kwa ofa mkuu, ila haijakaribia lengo.140k nakupa
Inaprint : Black & Colored,
Copy: Black & Colored,
Scan: Black & Colored.
Inakidhi kwa matumizi ya Ofisini na Stationery.
Ni yangu, haina dalali.
Bei: 240,000/-,
Mawasiliano: 0778 179 575
View attachment 1821932
View attachment 1821934
Hii haina wireless.Hii ina wireless?
Ok..hyo kula 150kHii haina wireless.
Yenye wireless ni EPSON L3150.
Ahsante kwa ofa yako mkuu.Ok..hyo kula 150k
Poa poaAhsante kwa ofa yako mkuu.
Haijakaribia lengo.