Kwa Toyota coding ya izi engine ndizo zilivyo.. Toleo lililoitangulia hii engine Ni 3L yenye CC 2800.. HILUX 2.8 huwa zinatumia aina hii ya engine Mara nyingi.
Matokeo ya kuboresha 3L engine ikiwa Na pamoja ya kuiongezea CC kufikia 3000 ndipo ikazaliwa 5L engine.
Ila zinafanana Sana Na 3L engine. Na spare nyingi huwa zinaingiliana