Nauza eneo langu lipo Mbagala

Nauza eneo langu lipo Mbagala

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,104
Reaction score
27,671
S
 
Attachments

  • 20201023_130918.jpg
    20201023_130918.jpg
    101.4 KB · Views: 32
  • IMG_20201023_155334_818.jpg
    IMG_20201023_155334_818.jpg
    129.4 KB · Views: 30
foot unamaanisha futi ? Taja vipimo kwa mita.
 
Acha uongo... Hapo ni mita za mraba ni 270...
1m = 0.3 foot
Kwa hyo hapo ni 15m kwa 18m..

Halafu eneo dogo afu garama sana
Asante mkuu.. kumbe social science ina sehem zake. Na kuhus bei mkuu mbagala siyo goba au chanika na mwembemdogo(dege) we una bei gani niangalie maslahi yangu
 
Hiyo wakongwe wa EPA ...una maana ya wezi?...mbona unaingia na maneno machafu utafikiri unauza Bangi....kwamba watake wasitake watanunua tu!
Hapana mkuu kuna memba hum jf wana hisa opo na Unilever kwao hiyo kes ndogo... joke tu
 
10 hela mkuu sema kama upo siriaz n unatak tufanye kitu njoo dm. Kam unawez kufanya biashar ya mali kwa mali+pesa
 
WAKUU eneo lipo barabarani pia shukran kwa walio siriaz. Raman hii kutoka Google GPS track. Eneo lipo kwenye doti ya rangi ya bluu
Screenshot_20201127-150630_Maps.jpg
Screenshot_20201127-145516_Maps.jpg
Screenshot_20201127-150706_Maps.jpg
Screenshot_20201127-150803_Maps.jpg
 
Mkuu nakuhakikishia Hautapata Mteja wa kununua ilo eneo kwa pesa iyo trust me ata Dalali akija ata kwambia.
Apo chamazi kuna Jamaa alijenga nyumba ikamshinda na n bonge la nyumba haswa alianza M70 kuuza imekaa miaka 15 mpaka sasa ameshusha mpaka 25M bado ajapata mteja.

Ebu vuta picha kama maeneo ayo watu wananunua nyumba 20M,15M mpaka 10M na Ni nyumba ya vyumba vitatu sitting, dinning, kitchen na stoo be serious utapata mteja ila acha kuwa na Tamaa za kupata pesa nyingi uku mazingira ya eneo, na ukubwa havirizishi

Maeneo ya Mbagala watu wanaokaa ukanda uo wana pesa za kudunduliza na unajua ni watu wa Kusini kwa 95% sasa M45 akija dalali ata kwambia zangu 5 so atatafuta mteja wauze eneo kwa M50 je mteja atapatikana ?
Ukisema ushushe ilo eneo watakwambia uliuze M20-25 dalali anaweza jitahidi mpata mteja japo pia nikwa mbinde sana so jaribu kutafuta madalali pia kwa ilo
 
Wana jf nauza eneo langu lipo mbagala,mgeninani.
Lina ukubwa wa foot 50×60,lipo barabarani halina mgogoro wowote na umbali wa mwendo wa dakika 3 toka stendi kuu(ambapo magari ya posta na kariakoo hupatikana kwa nauli ya tsh 450 tu) .pia Kuna kibanda cha vyumba vi3(kwa waKongwe wa EPA walioko jf siwez sem nyumba). Bei mil 45 hadi 42 kwa mawsiliano ya 0686731833 wasap,sms au piga kupata maelezo zaidi na picha.
View attachment 1609712View attachment 1609713
Kuhus nyaraka Kuna hati ya mauziano ya serikal ya mtaa. Nimeshauriwa pia na baadhi ya wateja kuhus hati Miliki kutoka ardhi nashkuru nalifanyia kazi.
Kuanzia Mbagara mpaka Chanika nyumba ya milioni 45 ni mjumba kweli kweli.
Kwa bei hiyo na nyumba hiyo hupati mteja abadani labla utumie ndumba.
Huu ni ukweli mchungu.
 
Kuanzia Mbagara mpaka Chanika nyumba ya milioni 45 ni mjumba kweli kweli.
Kwa bei hiyo na nyumba hiyo hupati mteja abadani labla utumie ndumba.
Huu ni ukweli mchungu.
Kijichi ,mkuu kuna mteja alikuja na 39 tumkataaa..
 
Mkuu nakuhakikishia Hautapata Mteja wa kununua ilo eneo kwa pesa iyo trust me ata Dalali akija ata kwambia.
Apo chamazi kuna Jamaa alijenga nyumba ikamshinda na n bonge la nyumba haswa alianza M70 kuuza imekaa miaka 15 mpaka sasa ameshusha mpaka 25M bado ajapata mteja.

Ebu vuta picha kama maeneo ayo watu wananunua nyumba 20M,15M mpaka 10M na Ni nyumba ya vyumba vitatu sitting, dinning, kitchen na stoo be serious utapata mteja ila acha kuwa na Tamaa za kupata pesa nyingi uku mazingira ya eneo, na ukubwa havirizishi

Maeneo ya Mbagala watu wanaokaa ukanda uo wana pesa za kudunduliza na unajua ni watu wa Kusini kwa 95% sasa M45 akija dalali ata kwambia zangu 5 so atatafuta mteja wauze eneo kwa M50 je mteja atapatikana ?
Ukisema ushushe ilo eneo watakwambia uliuze M20-25 dalali anaweza jitahidi mpata mteja japo pia nikwa mbinde sana so jaribu kutafuta madalali pia kwa ilo
Karibu kijichi mkuu umewah kufika..!? Shukrani kwa mchango wako
 
Changamoto ni pale unapouza kitu kwa sababu ya matatizo! Yaani kupata wateja kwa bei unayotaka siyo rahisi.
Kwa Mgeninani navyoifahamu ingawa si sana,hiyo bei uliyotaka enzi za Kikwete nadhani ungepata.Lakini sasa hivi ni kazi kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom