Nauza dish 8 ft coplete

Nauza dish 8 ft coplete

under the same sun

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
160
Reaction score
37
Wakuu nauza dish used euro star 8 ft la bati sio nyavu ina lnb 2 c-band na diseq switch moja na receiver ya media com 930 vimetumika kwa mwaka mmoja vyote kwa pamoja 150000, nipo dsm, karibu kwa pm kama ni mwitaji
 
Digital siku hizi peleka kwa mafundi majiko!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani dishi ni analogy????? , mlipokuwa mnatumia vi antenna vya mwiba wa samaki miaka hiyo wenzenu tulikuwa digital kwa kutumia madishi!
 
Kwa bei hiyo kaka utawakamata walio toka vijiji vya Kahunda au Mgandu huko lakini sio wajanja wa hapa mjini
 
Mi napita tu!!!Hakuna cha mgandu wala mwamagembe dish halina issue

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu nauza dish used euro star 8 ft la bati sio nyavu ina lnb 2 c-band na diseq switch moja na receiver ya media com 930 vimetumika kwa mwaka mmoja vyote kwa pamoja 150000, nipo dsm, karibu kwa pm kama ni mwitaji
Boss nitapata dish ft 8
 
Wakuu nauza dish used euro star 8 ft la bati sio nyavu ina lnb 2 c-band na diseq switch moja na receiver ya media com 930 vimetumika kwa mwaka mmoja vyote kwa pamoja 150000, nipo dsm, karibu kwa pm kama ni mwitaji
Nicheki kwa namba hh 0713722679 au 0753411316
 
Wakuu nauza dish used euro star 8 ft la bati sio nyavu ina lnb 2 c-band na diseq switch moja na receiver ya media com 930 vimetumika kwa mwaka mmoja vyote kwa pamoja 150000, nipo dsm, karibu kwa pm kama ni mwitaji
Sorry mkuu bado lipo au yyt anauza dish la ft 8 anchek 0625638864
 
Back
Top Bottom