jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Wakuu nauza dinning table ya mti wa mkongo na viti vyake 6 pamoja na table matts zake,Ni almost mpya imetumika chini ya mwezi mmoja.
Bei yake ni Tsh 450,000/=
Inapatikana dar.
Kwa anayehitaji ani pm namba yake nimtumie picha.
Hapa nashindwa kuattach.
Wasalaam.
Bei yake ni Tsh 450,000/=
Inapatikana dar.
Kwa anayehitaji ani pm namba yake nimtumie picha.
Hapa nashindwa kuattach.
Wasalaam.