Ulipigwa vibaya hizo ni 450,000
Yah alilanguliwa sana, hata mimi nilinunua dukani 450k kkoo mwaka huo huo 2017 liko hivyo hivyo ukubwa na brand(boss)Ulipigwa vibaya hizo ni 450,000
Daaa muuzaji alijua yupo ngorongoro kwa watalii kumbe hapa ni jf.Yah alilanguliwa sana, hata mimi nilinunua dukani 450k kkoo mwaka huo huo 2017 liko hivyo hivyo ukubwa na brand(boss)
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyemuuzia alipata cha juu cha laki na ushehe. Mi kama sijui bei ya kitu huwa nazunguka hata maduka matatu nione range ya bei ilivyo. Duka la mwanzo nilimkuta mdada nahisi sio mmliki,yeye alinitajia 520k, nikaenda duka lingine nikamkuta mshkaji yeye akanitajia 470k na kuniambia ukweli kwamba hizi freezer ukiuziwa zaidi ya 450k ujue umelanguliwa.Daaa muuzaji alijua yupo ngorongoro kwa watalii kumbe hapa ni jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada humu madukani wapigaji ajabuAliyemuuzia alipata cha juu cha laki na ushehe. Mi kama sijui bei ya kitu huwa nazunguka hata maduka matatu nione range ya bei ilivyo. Duka la mwanzo nilimkuta mdada nahisi sio mmliki,yeye alinitajia 520k, nikaenda duka lingine nikamkuta mshkaji yeye akanitajia 470k na kuniambia ukweli kwamba hizi freezer ukiuziwa zaidi ya 450k ujue umelanguliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakaka wanapiga, wengine hata ukiwa na bei aliyopanga mmiliki yeye hakuuzii,anataka apate cha juu wakati mwisho wa mwezi bado analipwa na boss wakeWadada humu madukani wapigaji ajabu
Ningekua mmiliki wa haya maduka,ningekua naprint bei nabandika ktk kila bidhaa kuepuka ulanguzi wa hawa wauzajiWadada humu madukani wapigaji ajabu
Ndo maana wahindi wanaamua kufanya biashara kifamilia zaidi - waswahili wanabak kubeba mizigo na kupunguza hamuNingekua mmiliki wa haya maduka,ningekua naprint bei nabandika ktk kila bidhaa kuepuka ulanguzi wa hawa wauzaji
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaNdo maana wahindi wanaamua kufanya biashara kifamilia zaidi