Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
😅😅😅! Dagaa wadogo ndo wana ladha mkuu!lols..dongo limefika thou!Samahani mbona wanamchanga hivo?
Halafu ni wadogo wadogo mno
Bei ya gunia pls? Kuna boya anawapiga watu huku na bei za ajabu, nangoja jibu natamani kufanya hii shuhuli.😅😅😅! Dagaa wadogo ndo wana ladha mkuu!lols..dongo limefika thou!
Kama hutojali jaribu upeleke mzigo Mtwara. Au tafuta wakala wa majaribio ucheck soko lilivyo.
Naamini hutojutia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya gunia pls? Kuna boya anawapiga watu huku na bei za ajabu, nangoja jibu natamani kufanya hii shuhuli.
Gunia anauza laki 7.. anabei huyu
Bei ya gunia pls? Kuna boya anawapiga watu huku na bei za ajabu, nangoja jibu natamani kufanya hii shuhuli.
Nauza kwa gunia tu mkuu!...uko mkoa gani?
Weekend hii ntakucheki mkuu.180000/=
Karibu..Weekend hii ntakucheki mkuu.
Ilikua sikukuu...sawa, nakurudiaLast tym ulisema unaenda moshi!dar ni 180000!
.